Mahakama imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Lee Myung-bak baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya rushwa
Lee anakuwa Rais wa nne wa nchi hiyo kuhukumiwa kutumikia kifungo jela baada ya wengine watatu kufungwa kwa makosa ya rushwa
Mwanasiasa huyo alithibitika kutenda kosa hilo wakati wa uongozi wake baada ya kupokea kiasi cha dola milioni 10 kutoka kampuni ya Samsung
Muda wote wa kesi hiyo Lee alikuwa akikana mashtaka hayo na kusema kuwa yametengenezwa kisiasa
=====
A Seoul court on Friday jailed former South Korean President Lee Myung-bak (pictured) for 15 years, making him the latest in a string of high-profile political and business leaders ensnared by corruption charges.
Lee is the fourth former South Korean president to be jailed, with his successor Park Geun-hye imprisoned over a separate graft scandal that toppled her from power in early 2017 and fed concern over cozy ties between government and business.
Lee faced charges of having accepted around $10 million in illegal funds from companies such as conglomerate Samsung and his own intelligence service, but he denied any wrongdoing, saying the investigation was politically motivated.
Popular Posts
-
Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho k...
-
1. Magadi Soda, Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji...
-
REST IN PEACE OUR BROTHER JAMES NEE, HE WAS A GREAT SINGER IN ECG MINISTRY. Although the death of JAMES NEE was a surprise t...
-
The quake struck near the northernmost tip of Haiti late on Saturday, causing damage to buildings, including an auditorium that c...
-
MAAMBUKIZI kwenye njia ya mkojo ( Urinary Tract Infection kifupi U.T.I) ni maambukizi yanayoshika nafasi ya pili kuupata mwili mara nyin...
-
To make your own Logo just follow 3 steps: 1.Fill in your Brand Fill in your Brand and select your desired logo category. We h...
-
HATIMAE MATOKEO KIDATO CHA NNE YATANGAZWA RASMI Kuona matokeo yote bonyeza HAPA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018 Link1>> https://c...
-
One killed in shooting Police displaced protesters in Ileje District, Songwe. Ishenta village in Ileje Mkoani Songwe District has ...
-
Muktaar Robow: Alshabab's former headman is prevented from getting Somalia's leadership Well-known Mukhtaar Roobow also as A...
-
Albendazole, a broad-spectrum oral antihelminthic, is the drug of choice and is approved in the USA for treatment of hydatid disease...
Subscribe to:
Posts (Atom)
HOT CRL COMMISSION REPORT TO ECG CHURCH RELEASED
Prophet Shepherd bushiri confirmed that ... The CRL Commission has just released the findings of their Section 7 Investigation into w...
-
Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho k...
-
1. Magadi Soda, Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji...
-
REST IN PEACE OUR BROTHER JAMES NEE, HE WAS A GREAT SINGER IN ECG MINISTRY. Although the death of JAMES NEE was a surprise t...
-
The quake struck near the northernmost tip of Haiti late on Saturday, causing damage to buildings, including an auditorium that c...
-
MAAMBUKIZI kwenye njia ya mkojo ( Urinary Tract Infection kifupi U.T.I) ni maambukizi yanayoshika nafasi ya pili kuupata mwili mara nyin...
-
To make your own Logo just follow 3 steps: 1.Fill in your Brand Fill in your Brand and select your desired logo category. We h...
No comments:
Post a Comment