GEORGE JUNIUS STINNEY, Jr. ndiye kijana mdogo aliyehukumiwa kifo kwa kiti cha umeme mwaka 1944, baada ya wasichana wawili wa kizungu, Betty June binnicker wa miaka 11 na Mery Emma thames wa miaka 7. baada kupotea na miili yao kuokotwa kesho yake ikiwa tayari wamekufa na mtu wa mwisho kuonekana akiongea na hawa watoto alikuw ni huyu kijana mwenye asili ya kiafrika George(14)
ANGALIA TUKIO ZIMA KATIKA VIDEO HII
R.I.P George stinney, jr (14)
No comments:
Post a Comment